Mahakama yamshauri DPP kuiondoa kesi ya uamsho

Mtuhumiwa namba moja katika kesi ya kujihusisha na vitendo vya ugaidi, Sheikh Farid Ahmed (mbele) akiwa na watuhumiwa wenzake chini ya ulinzi wa askari Magereza katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam jana. Picha na Venance Nestory

Leave a comment

Design a site like this with WordPress.com
Get started