Rais Magufuli akiwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokwenda kuwatembelea majeruhi wa ajali ya moto iliyotokea jana Msamvu Morogoro.